Cover art for Velvetvoice

Velvetvoice

velvetvoice

Album: Uvumilivu

Stream
Credits:

Produced by:

Writers: keisha

Lyrics

mara ya kwanza nakuona sikufani
sikuhisi ungeingia moyoni
baada ya muda kazi choka burudani
mpaka home kajitupa kitandani

uvumilivu umenishinda
baby i love you sikukuambia
naamini ulijua
kiss na hug sizipati mpaka night

uvumilivu umenishinda
baby i love you baby i love
baby i love you
songea kalibu yangu unipe love
nipe love nipe-love

uvumilivu umenishinda
baby i love you baby i love
baby i love you
songea kalibu yangu unipe love
nipe love nipe-love

nakili ya kusema kwamba
baby i love you
nacho hitaji pendo lako la dhati
ukikubali baby me nitapata raha
ooh my baby boi
sishangae kukuambia hisia nilizo nazo
labda ukaniona kichache
fikira hizo baby naomba achana nazo
ooh my baby boi

uvumilivu umenishinda
baby i love you baby i love
baby i love you
songea kalibu yangu unipe love
nipe love nipe-love

hakika wewe ni wape kee
mawazo yako hayakuenda upande