Ngekewa Album Cover

Ngekewa

By LavaLava

Album: Time

Released on August 15, 2025
Stream Song

Ngekewa Lyrics by LavaLava

Ridhiki Mafungu saba
Leo nami napumua
Sasa mambo si haba
Mungu kapokea dua
Kule kukabwa kabwa
Wallah angeniua
Kumbe matamu mahaba
Leo ndonimegundua
Pilipili ya moyo kuniwasha
Vurugu makasiriko nilishidwa zoea
Alikuaga kafiri
Mpenda Anasa
Mie machozi mafuriko huruma akunionea
Sasa nacheza kidari poo!!
Namitomito chumbani
Insta tunamrusha roho
Yule jini subiani
Twamaliza sebure choo
Michezo ya nje ndani
Tupendane waumwe roho
Vingedere vinyani
Mana kukupata wewe!!
Kama Ngekewa Ngekewa!
Kama Ngekewa Ngekewa!
Mwenzako kukupata wewe
Kama Ngekewa Ngekewa!
Mimi kuwa na wewe
Kma Ngekewa Ngekewa!
Abiria nachunga muzigo wangu
Nitamganda kama kupe kwamito namajabari
Poleni vishankupe mlosema hatufiki mbali
Rogeni mchana kweupe Nampanda juu ya dari
Presha ziwapande ziwashuke mkalazwe hospital
Solo!! Solo!! Namanyamanyama napewa
Kongoro supu ya mbuzi bandama nachewa
Viporo hanipi vinanikwama elewa
AAAA!
Pilipili ya moyo kuniwasha
Vurugu makasiriko nilishidwa zoea
Alikuaga kafiri
Mpenda anasa
Mie machozi mafuriko huruma Akunionea
Sasa nacheza kidari poo!!
Namitomoto chumbani
Insta tunamrusha roho
Yule jini subiani
Twamaliza sebure choo
Michezo ya njee ndani
Tupendane waumwe roho
Vingedere vinyani
Mana kukupata wewe!
Kama Ngekewa Ngekewa!
Kama Ngekewa Ngekewa!
Mwenzako kukupata wewe
Kama Ngekewa Ngekewa!
Mimi kuwa na wewe
Kama Ngekewa Ngekewa!
Abiria nachunga muzigo wangu

 

 

Song Credits

Writers: Lava Lava

Release Date: August 15, 2025

Q&A Section

Have a question about this song? Here are some answers.

Where to listen to "Ngekewa"

Click here to stream the song

Who is the artist of "Ngekewa"?

LavaLava

When was "Ngekewa" released?

2025-08-15

What album includes "Ngekewa"?

Time

Who is the artist of "Ngekewa"?

LavaLava

When was "Ngekewa" released?

2025-08-15

What album includes "Ngekewa"?

Time

Where can I listen to "Ngekewa"?

https://ziiki.lnk.to/Time

What is the meaning of "Ngekewa"?

Stay tuned! We're working on an explanation for this song.