Ye asie faa amefa faa
kweli mtu sio umbwa
sa hivi anangaa kama chokaa
ye mungu anajuwa kuumba
Kama umilmwacha kisha amechankaa
kwangu kajamwona amengara
Kama umilmwacha kisha amefumba
kwangu kaja ana ngara ngara
Sijui na date na Ex wa nani lakini nampenda
Sijui na date na Ex wa nani ila kwangu ndo my everything
Sijui na date na Ex wa nani lakini nampenda
Sijui na date na Ex wa nani ila kwangu ndo my everything
uh uh yeah
ooh my everything
uuh my everything
ooh my everything
uuh my everything
Alitupa utombo wenzake tukalia ndizi,
Kasusa sie twala
Sina pupa anavyonipa,
Mimi vinanikidhi wala sinapapara
Tena Nampa pole aloachana naye, maana nishaanza kufanana naye
Nitandike njanvi chini akae
Sijui na date na Ex wa nani lakini nampenda
Sijui na date na Ex wa nani ila kwangu ndo my everything uh yeah
Sijui na date na Ex wa nani lakini nampenda
Sijui na date na Ex wa nani ila kwangu ndo my everything
uh uh yeah
ooh my everything
uuh my everything
ooh my everything
uuh my everything
Aya sasa, Kurwa anatoka ndoto anaingia,
Mwenye kashoboka kaning’ang’ani.
Kurwa anatoka ndoto anaingia,
Mwenye kashoboka kaning’ang’ani, mama.
Kaulamba uyu, kaulamba uyu, kaulamba utamu wa balesa.
Kaulamba uo, kaulamba uo, kaulamba utamu wa balesa.
Kaulamba uo, kaulamba uo, kaulamba utamu wa balesa.
Kanivuruga, kafanya nimepagawa,
Nilivyoona mbonge la chura nikachachawa.
Oya chura ana nesa nesa,
Oya chura anarukaruka.
Oya chura ana nesa nesa,
Oya chura anarukaruka.
Oya, huku na huku kwenye vibe, wapi? (Huku!)
Likipigwa hili ngoma tunaenda wapi? (Huku!)
Oya, huku na huku kwenye vibe, wapi? (Huku!)
Likipigwa hili ngoma tunaenda wapi? (Huku!)
Aya twende! Tunaenda (huku),
Tunarudi (huku), Tunaenda (huku),
Tunaenda (huku)