
Aste Aste Lyrics by Lava Lava
aaaaaa !!
aaaaaaa aah
kama mapenzi
nisumu basi
najiweka rehani
uniuee !
aah, kwako minitadumu
usiwe nawasi
niende kwanani, nijisumbuee
aaah
songombingo mabalaa
havina maana
kiotani kwako nimekaa
nimetulizana
maneno yako mashallah
ila jichunge sana,
wasikupe udivi vidagaa
wakakutia laana
kama tumeridhiana
aa! yanini kujibanabana
aaa!! walodhani tutaachana
aaa!! wambe tupotupo sana
hatuna pupa haraka
penzi aste aste
mahaba ndindi
aste aste
mambo ya kihindi aste aste
mahaba ndindindi
aste aste
tumeshikana ngingingi!!
penzi simitutu vita vyamajimaji
usinifanye wakupita nkuone mzugaji
mwenyenyumba nishajikita
simpangaji
komeni mnojipitisha wavamiaji
songombingo mabala
havina maana
kiotani kwako nimekaa, nimetulizana
maneno yako mashallah
ila jichunge sana, wasikupe uduvi vidagaa
wakakutia laana
kama tumeridhiana
aa! yanini kujibanabana
aaa!! walodhani tutaachana
aaa!! wambie tupotupo sana
hatuna pupa haraka
penzi aste aste
mahaba ndindindi
aste aste
mambo yakihidi
aste aste
mahaba ndindi
aste aste
tumeshikana ngingingi !!
Q&A Section
Have a question about this song? Here are some answers.
Lava Lava
2025-08-15
Lava Lava
2025-08-15