Ningefanyaje Lyrics by Lava Lava
Umenipa upofu
Sioni ee
Mbele giza nyuma giza nikipapasa
Umeniacha kwamataa kulikoni eee
Kila nikijiuliza nahisi kudata
Ningefanyajee
Ungesema labda unataka niweje ee
Nieleze Nikupendaje
Chonde chonde chondee Ee Ee
Sweety Mwenzio
Akili mbili kasoro
Nachanganyikiwa (Napatwa ukichaa)
Umenipa msiba kilio
Nimebaki doro mimwana mukiwa
Skuizi kunywa nakunywa
Kulewa nalewa
Kwako nilikosa shabaha
Nikalenga hewa
Kunywa nakunywa
Kulewa nalewa
Nilikupenda kweli Nikadhani ngekewa
Ningefanyaje
Ungesema labba unataka niwaje
Nieleze nikupendaje
Chonde Chonde Chondee Ee Ee
Ningefanyajee
Ungesema labda unataka niwaje
Nieleze nikupendaje
Chonde Chonde Chonde Ee Ee
Toka Uondoke
Nateseka sina raha nnauzuni kibao (Kibaoo)
Nalia muda wote
Mwenzangu unakula raha
Nakuona kwamitandao ( Mitandaoo)
Unaposti vijembr TikTok
Nakutambiana
Kapsheni zako ndizo
Zinanichanganya
Eti ulikosea njia
Hatukuendana
Mengine ninayoambiwa
Hayasemeki Daah!!!
Skuizi Kunywa nakunywa
Kulewa nalewa
Kwako nilikosa shabaha
Nikalenga hewa
Kunya nakunya
kulewa nalewa
Nilipenda kweli nikadhani ngekewa
Ningefanyajee
Ungesema labda unataka niwaje
Nieleze nikupendaje
Chonde Chonde Chonde Ee Ee
Ningefanyaje
Ungesema labda unataka niwaje
Nieleze nikupendaje
Chonde Chonde Chonde Ee Ee
Q&A Section
Have a question about this song? Here are some answers.
Lava Lava
2025-08-15
Time